Mwanamuziki na muigizaji Selena Gomez ambaye anatamba na ngoma yake kali ya "Heart Wants What it Wants" amefungua mwaka kwa kupata shavu la kulipamba jarida maarufu nchini Marekani linalofahamika kama V Magazine.
Mwanamuziki huyo ambaye pia amekuwa katika vita ya mapenzi na Justin Bieber amekubali kubaki kifua wazi ili kuudaka mkwanja wa V Magazine.
Picha nyingine nyingi ziko hapa:
Home / FILAMU /
MASTAA MUZIKI /
SELENA GOMEZ /
V Magazine
/ Selena Gomez abaki kifua wazi kulipamba jarida.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment