MSANII SHAMSA FORD AFUNGUKA: SIJAACHANA NA MUME WANGU

MSANII wa filamu anayetamba na Filamu ya Chausiku, Shamsa Ford amewafungukia watu wanaoeneza taarifa kuwa ameachana na mumewe, Dickson Matoke kwamba hakuna kitu kama hicho.
Msanii wa filamu anayetamba na Filamu ya Chausiku, Shamsa Ford.
Akizungumza na Uwazi, Shamsa alisema kuwa hajaachana na mumewe huyo na wote wanaosema hivyo watakuwa wanamtaka.“Bado nipo na mume wangu tena kajaa tele, nashangaa hao wanaosema kuwa tumeachana labda wanamtaka,” alisema Shamsa
Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment