Forbes yamtaja Kid Ink kuwa rapa kutoka Los Angeles anayekua kwa kasi zaidi kwenye Hip Hop.


Rapa Brian Collins anayetamba zaidi kwa jina la sanaa kama Kid Ink ametajwa na mtandao wa Forbes kuwa msanii wa kurap anayekuwa kwa kasi zaidi katika dunia ya Hip Hop. Mkali huyo wa 'Body Language' ametokea jiji la Los Angeles na kwa mujibu wa Forbes Kid Ink amekuwa akitunga nyimbo kali zinazopendwa katika vituo vya radio. Baadhi ya hits zilizotajwa kumuweka Kid Ink juu ni kama 'Main Chik' , 'Body Language' na hit yake mpya inayokwenda kwa jina la 'Be Real'.
Hongera kwa mkali Kid Ink kwa kufanya vizuri katika gemu ya Hip Hop.
Hii hapa post ya Kid Ink ya Instagram inayoonyesha screenshot ya stori kama ilivyoandikwa katika mtandao wa forbes.


A photo posted by Kid Ink (@kidinkbatgang) on
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment