Lord Eyez na Ray C waja na kazi ya pamoja



Rapa wa Kundi la Weusi Lord Eyez ameeleza ujuo wa ngoma yake mpya amesema hayo alipo ongea na Clouds Fm amefanya kazi na mpenzi wake wa kitambo ambaye ni msanii wa bongo fleva Ray C.
Ray-C-and-Lord-Eyez
Lord Eyez amethibitisha kuwa wimbo umepewa jina ‘Matatizo’ na umefanyika studio za Mandugu Digital na Producer Shaqee. Wimbo una stori kuhusu mambo tofauti tunayopitia kwenye maisha.
Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment