TEAM Mayweather yatimba mazoezini kumsapoti


Kuelekea mpambano wa masumbwi wa kihistoria au kama wengi wanavyouita mpambano wa karne, bondia Floyd Mayweather kutoka Marekani ambaye atapambana na Manny Paquiao kutoka Philipino ameweka video kwenye ukurasa wake wa facebook kuonyesha mashabiki wake wanavyojumuika katika mazoezi yake.


Champ's Celebrity friends stop by the gym to show support #MayPac
Posted by Floyd Mayweather on Wednesday, April 22, 2015
Katika team hiyo inayofahamika ka The Money Team (TMT) wapo watu maarufu kama Rapa Rick Ross na Mwimbaji Tank ambao wanaonekana kumsapoti vilivyo gwiji huyo wa masumbwi Duniani.
Kitu kizuri pia ni kuonekana kwa picha ya Paquiao katika kuta za Gym ambalo anafanya mazoezi Mayweather. Hii inapelekea kuongezeka kwa hamasa ya kuushuhudia mpambano wa wababe hao utakaofanyika May 2, 2015 huko Las Vegas.
Hii hapa post ya Mayweather.


Champ's Celebrity friends stop by the gym to show support #MayPac
Posted by Floyd Mayweather on Wednesday, April 22, 2015
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment