Campaign ya Ali Kiba Dhidi ya Daimond Platnumz Kill Music Awards..Daimond Adai yeye Sio Size Yao..Atawapelepweta Bure

Licha ya kwamba kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake ila it is not a coincidence ma ex wote wa Mwanamuziki Diamond Platnumz wanafanya campaign za kushawishi watu wampigie kura ally kiba...si kwa vile ni mashabiki wa ally kiba ila ni Figisu Figusu tuu na chuki za mafanikio ya Daimond

Alianza Wema, akaja Jokate na list itaendelea mpaka tukio la utolewaji wa Tuzo hizo... Vitu hivi vyote vinatokea sio kwa bahati mbaya ila watu hao kwa kujua Ally hana uwezo wa kushinda tuzo mbele ya Daimond baasi wameamua kwa makusudi kumfanyia campaign ally ili wafanye revenge ...

Ila uzuri mmoja Mondi bin laden amewaambia kuwa yeye sio size yao..... Atawapelepweta bure
Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment