Wiki
iliyopita nyota wa muziki kutoka nchini Nigeria Davido aliungana na
magwiji wa muziki nchini marekani kutoa show kali kwenye sherehe moja
iliyowavutia wasanii wengi nchini humo.
Wasanii walioudhuria sherehe hiyo ni mwanamuziki nyota wa kike Nick Minaj, Yung Buck, Common, 50 Cent, Dj Mustard, Jeremih na wengine wengi.
Davido katika sherehe hiyo aliambatana na kaka yake ambaye ni meneja wake Sesan Ogunro.
Hizi ni baadhi ya picha za Davido akiwa jukwaani na wasanii wengine.
0 comments:
Post a Comment