Kwenye interview hiyo kuna haya majibu ya ishu ambazo huenda hukuwahi kuzisikia wakiongelea kokote
<>—Diamond Platnumz anasimulia walivyokutana na mpenzi wake Zari kwa mara ya kwanza.
Kumbe hiki ndicho kilimvutia Zari kwa Diamond Platnumz>> “Ni mchangamfu.. anajali.. Diamond ana akili sana, nilivutiwa nae kwa sababu ana akili sana.. anajituma sana, ni mtu mwenye malengo makubwa..”>> —Zari.
Kwani Diamond amewahi kuonana na watoto wa Zari?? Wanamchukuliaje? >> “Bado hawajawahi kuonana.. ila watoto wanamjua.. kama mama yao nina furaha wao wana furaha pia>>—Zari.
Hivi ndivyo Diamond alivyomzungumzia Zari pamoja na maisha yao >> “Anajua kuna maisha ya kwenye media na kuna maisha ya ukweli.. Japokuwa watu wanahisi vitu vingi viko kwenye public, ni uongo.. tuna maisha ya social media na tuna maisha private..>>
0 comments:
Post a Comment