Linah Bado Ana Wasiwasi na Wema...Soma Hapa



Siku chache baada kuenea kwa taarifa za kuporwa bwana na Wema Sepetu, staa wa Bongo Fleva Esterlinah Sanga ‘Linah’ amefunguka kuwa bado ana dukuduku kubwa moyoni ambalo anajipanga hivi karibuni kulianaika hadharani kwa njia ya tamko rasmi ambalo atalitoa kwa njia hiyo hiyo ya mtandao

Kwa mujibu wa linah ,amesema kuwa tamko hilokwa sehemu linahusiana na tuhuma za kulalamika kuibiwa  bwana, kitu ambacho kinaendelea akiwa haoni sababu ya kuendelea kukaa kimya zaidi na kuumia roho.
Linah amesema kuwa kwa sasa anajipanga kuaandaa waraka huo na siku yoyote kuanzia sasa mambo kutoka moyoni mwa staa huyo yatakuwa hadharani.
Linah amesema anatarajia kumtangaza rasmi mpenzi wake mpya kutoka nchini Nigeria “ Nampenda sana  mpenzi wangu  nitaamua kumuweka wazi ili mashabiki wangu watanbue uhusiano wangu  mpya ni  wa msanii mkubwa sana  nampenda  hii sio project  ni kitu ambacho ni kweli  nimechoka na masimango ya Watanzania’.
Tanuru la Filamu
Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment