Trace Tv ya Ufaransa imesema hizi ndio video 10 bora za Africa zinazotamba wiki hii…Tanzania inazo mbili


.
.
Mtu wangu wa nguvu kama ulikuwa na hamu ya kufahamu video za Afrika zinazofanya vizuri duniani na iliyofanikiwa kuchukua nafasi kwenye countdown za nchi kubwa.
kwa mara nyingine tunajiunga na kituo cha TV cha kimataifa cha Trace Urban chaUfaransa kuangalia hii top 10 yao ya nyimbo kali za Afrika wiki hii.
  1. Awilo ft P Square – Enemy Solo
9.Iyanya ft Diamond – Nakupenda
8.Wiz Kid – Ojuelegba
7.Diamond Platnumz ft Mr Flavour – Nana
6.Wiz Kid – Expensive Shit
5.Burna Boy – Soke
4.Vanessa Mdee ft K.O – No body But Me
3.MI Abaga – Bad Belle ft Moti Cakes imebaki kwenye namba ile ile ya wiki iliyopita 
2.Yemi Alade ft Phyno –Taking Over Me
1.Olamide Bobo

Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment