Meek Mil asema Kendrick Lamar na J Cole hawamshawishi na muziki wao

Rapper Meek Mil kwasasa anatangaza album yake mpya Dream Worth More Than Money amesema yeye sio mpenzi wa muziki wa J. Cole na Kendrick Lamar, anajiona kama sio mlengwa wa muziki wao, haumshawishi chochote.
images
Meek anasema wasanii anaowasikiliza ni Future, Dej Loaf, Young Thug na Jay Z.
Meek Mil anasema miaka mitano iliyopita alitabiri kuwa na Nicki Minaj wakati anaangalia video ya ‘Bed Rock’ na aliandika twitter akiwa na washkaji zake.
Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment