Rihanna hivi sasa hivi yupo katika mahusiano na mchezaji wa Real Madrid Karim Benzema ila amekiri kuwa Chris Brown ndio penzi la maisha yake.
Chanzo kimoja kimesema Rihanna amemwambia mpenzi wake mpya kuwa bado anahisia za mapenzi kwa X wake Chris Brown.
Karim Benzema, 27, ameonekana kuwa huru na wazi kuhusu Rihanna bila kujali kuwa bado anamkubali Chris Brown.
0 comments:
Post a Comment