Nyota wa muziki nchini Diamond amesema anahitaji mambo haya kwa msanii wa hapa nchini anayetaka kufanya collabo naye.
“Mimi sina tatizo as long as nijue hiyo kazi unayotaka kufanya na mimi itafika wapi,umejipanga vipi project yako na umeiandaa vipi, kwasababu sitaki nifanye tu nyimbo mwisho wa siku halafu iishie tu ndani unaiskiliza wakati natumia muda kukaa kuandika kupoteza muda studio.Na ukiangalia kwa mfano kama nje nakuwa nafanya collabo na wasanii tofauti tofauti kwasababu inasaidia pia muziki wetu kutanua kiurahisi[…] Lakini haimaanishi kwamba sitaki kufanya collabo na wasanii wa Tanzania […] yaani unavyokuja kufanya collabo lazima ufanye kuonesha qualifications za kufanya collabo na mimi.“

0 comments:
Post a Comment