Waziri Ndalichako awakabidhi Tigo Tuzo ya udhamini wa Kongamano la wiki ya Ubunifu Tanzania

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako akabidhi tuzo ya udhamini #IWTz2021 kwa mkurugenzi mkuu wa Tigo, Simon Karikari, wakati wa hitimisho la kongamano la wiki ya ubunifu Tanzania 2021 yenye Kauli mbiu “Ubunifu kwa Uchumi wa Kidigitali Stahimilivu na Shirikishi”.Tigo kwa mara ya kwanza imedhamini Innovation Week Tanzania 2021 ambapo imendesha na kushiriki kwenye mijadala mbalimbali kuhusiana na Ubunifu wa Kidigitali Shirikishi na Stahimilivu

MATUKIO KATIKA PICHA:
Hitimisho la kongamano la wiki ya ubunifu Tanzania 2021 yenye Kauli mbiu “Ubunifu kwa Uchumi wa Kidigitali Stahimilivu na Shirikishi”.Tigo kwa mara ya kwanza imedhamini Innovation Week Tanzania 2021 ambapo imendesha na kushiriki kwenye mijadala mbalimbali kuhusiana na Ubunifu wa Kidigitali Shirikishi na Stahimilivu

Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment