Ben Paul amepost picha instagram akiwa makao makuu ya Mercedez Benz

Akiwa katika ziara yake nchini Ujerumani, mkali wa R&B kunako gemu ya Mziki wa Bongo, Ben Paul ameona sio mbaya akafika makao makuu ya kampuni kubwa ya magari Mercedez Benz iliyopo jijini Munchen.
Kama hiyo haitoshi akaona awatupie pale pande za Instagram ili na wapenzi wake muone. Kama vipi chizika nazo hapa MWANAHARAKATI 180+


Share on Google Plus

About Planet Passport

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment