RAY C akana kulirudia Penzi la Mwisho Mwampamba..!!


Rehema Charamila aka Ray C amekanusha kilichoandikwa na gazeti la Visa kuwa amerudiana na aliyewahi kuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa mara mbili Mwisho Mwampamba. Wawili hao waliwahi kuwa na uhusiano miaka kadhaa iliyopita.
rayc
 
Kupitia Instagram Ray C ameandika:
Sijamuona Mwisho na Kama mwaka wa Sita huu!!!udaku Mwingine umezidi kwakweli sipendi……..He is happily married and I respect him!!!!ati I met him last week n we exchanged numbers that’s a big big lie jamani……Am happy and Single….Am loving my life”
Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment