Baada ya Kuangukia pua MTV MAMA na BET, DIAMOND atwaa tuzo ya KORA



Diamond Platinumz
Diamond Platinumz
STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo za Kora katika kipengele cha Msanii Bora wa Kiume wa Afrika Mashariki.  Meneja wa msanii huyo, Babu Tale amethibitisha kupokea cheti cha heshima kuhusu tuzo hiyo huku akisema wanasubiri utaratibu zaidi.
CHETI
Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment