Audio: Timbulo ameachia wimbo mpya "Nakumiss miss"

Photo: Mambo vp, leo wimbo we2 unaingia mtaan!
andika neno nakumissmiss 2ma whatsapp 0714004224 uta2miwa sasa hv!! 
#nakumiss miss
#nakumiss miss

Mkali wa Bongo fleva ambae wimbo wake wa niende zangu bado haujachuja ameamua kuwapa mashabiki wake ladha nyingini kwa kuachia kibao kipya kinachokwenda kwa jina la "Nakumiss miss". Timbulo amepost kwenye ukurasa wake wa facebook na ameweka namba yake kwa yeyote anayehitaji kutumiwa wimbo huu kwa njia ya whatsapp. Ni wimbo wa kuchezeka ambao ameufanya kwa Mazuu Records na ni mkali na kwa vile masikio hayadanganywi, usikilize mwenyewe hapa:


Share on Google Plus

About Mallya Michael

Born in Moshi ,live i Tanga, studied in Arusha, went for military training at Kanembwa in Kigoma & currently pursuing my B.A in Public Relations & Advertising in University of Dar es Salaam
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment