Video: Yamoto Band na video yao mpya - Niseme.



Bendi ya vijana ambao wanasimamia na Mkubwa Fella inayojulikana kama Yamoto Band wameachia traki nyingine kali baada ya siku za karibuni kutikisa na kibao chao cha Nitajuta.  Maudhui ya wimbo pamoja na mandhari ya video ilipofanyika vimeubeba wimbo huo ambao una ujumbe kuntu ndani yake.
Bila kuongeza chumvi ikodolee video hiyo hapa:



        
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment