DIAMOND ATAJWA KUWANIA TUZO ZA CHANNEL O
Diamond Platnumz ametangazwa kuwania tuzo za Channel O (CHOAMVA) na katika blogg yake ameandika haya:

Nina kila sababu ya kuendelea kumshukuru Mungu kwa kila hatua mpya ninayoipiga,pasipo kuwasahau nyinyi mashabiki wangu wapenzi mnaonipa sapoti inayonipa nguvu kwa kile ninachokifanya..Tuzo kubwa barani Afrika za Channel O 2014  Zijulikanzo kama,Choamva zimewadia,na kupitia vuideo ya number 1 nimechaguliwa kuwania tuzo katika vipengere vinne(4) 
ambavyo ni pamoja na 
MOST GIFTEDVIDEO OF THE YEAR, 
MOST GIFTEDNEWCOMER, 
MOST GIFTED AFRO POP
na MOST GIFTED EAST AFRICA..

ni hatua na fursa nyingine njema kwa muziki wetu  kuzidi kutambulika ,hivyo tushilikiane kwa pamoja 
kunipgia kura  kwa kubonyeza hapa VOTE HERE ,kisha chagua kila category niliyopo,utaombwa kujirejista baaada ya hapo utaweza kunipigia kura mara nyingi uwezavyo.
pia njia nyingine kwa wenye smart phones go to app store/ googleplay download we chat app kisha tengeneza plofile na u search channelotv na uanze kupiga kura.unaruhusiwa kuvote hata mara 100

#CHOAMVA14 Nominees

Mimi nimeshapiga kura zangu zote 100 nikizigawanya katika vipengele vyote vinnne, ni muda wako kuonesha upendo kwa Diamond na kwa Tanzania kwa ujumla.


Share on Google Plus

About Mallya Michael

Born in Moshi ,live i Tanga, studied in Arusha, went for military training at Kanembwa in Kigoma & currently pursuing my B.A in Public Relations & Advertising in University of Dar es Salaam
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment