Halle Berry atengeneza Perfume kwa kutumia miti shamba.


Sensual and sexy: Halle Berry smouldered in the promo campaign for her new fragrance Wild Essence

Mwigizaji mkongwe ambaye pia aliwahi kuwa mwanamitindo wa nchini Marekani Halle Berry ameibukia katika biashara ya kutengeneza perfume akitoka na perfume inayokwenda kwa jina la "The Wild Essence" ambayo imetengenezwa kwa mitishamba. Halle Berry ameisifia perfume hiyo ya kike huku akisema imetokana na mimea halisi.
"Napenda wazo la kutengeneza marashi yatakayomuunganisha mwanamke na mazingira halisi kupitia pafyumu", alisema Berry.
Mwigizaji huyo mwenye miaka 48 ameingiza perfume ya sita sokoni zikiwemo za awali kama  Exotic Jasmine, Closer, Pure Orchid na ambayo aliipa jina lake Halle perfume.
Her own brand: Wild Essence is the 47-year-old's fifth fragrance in her perfume line
Mbali na biashara hiyo ya perfume na uigizaji, Halle Berry pia ni mama wa watoto wawili.

Share on Google Plus

About Mallya Michael

Born in Moshi ,live i Tanga, studied in Arusha, went for military training at Kanembwa in Kigoma & currently pursuing my B.A in Public Relations & Advertising in University of Dar es Salaam
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment