MDAU WANGU, KUNA HIVI VIPANDE VYA HOTUBA ZA OBAMA VIMEUNGANISHWA KWENYE BEAT YA WIMBO WA IGGY AZALEA.
Watundu wamefanya yao baada ya kuchambua baadhi ya vipande vya hotuba za Raisi wa Marekani, Barack Obama na kuvifanya viendane na wimbo wa "Fancy" wa mwanadada Iggy Azalea.
Na huwezi amini, kwani ukusikiliza na kutazama kwa makini video ya kionjo hicho , utadhani kweli Obama amerap katika beat hiyo.
Hiki hapa kionjo hicho:Usikose burudani nyingi kama hizi, tembelea blog yetu mara nyingi kadri uwezavyo kwa burudani zaidi.
Share on Google Plus

About Mallya Michael

Born in Moshi ,live i Tanga, studied in Arusha, went for military training at Kanembwa in Kigoma & currently pursuing my B.A in Public Relations & Advertising in University of Dar es Salaam
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment