FACEBOOK: HII POST YA LINEX IMENIVUNJA MBAVU

Mwanamuziki hodari kunako tasnia ya muziki wa kizazi kipya , maarufu kama Bongo Fleva anayefahamika kama Linex ameposti picha Facebook akiwa kama anamnong'oneza mtu na kuandika maneno "Heheheh eti mwambiwe yule dem asiondoke lol sikua namwambia jamaa HVO bana"
Ukitazama picha na maneno jinsi yalivyokaa, lazima meno yote 32 yatabaki nje.
Share on Google Plus

About Mallya Michael

Born in Moshi ,live i Tanga, studied in Arusha, went for military training at Kanembwa in Kigoma & currently pursuing my B.A in Public Relations & Advertising in University of Dar es Salaam
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment