VIDEO: KIPI SIJASIKIA- PROF. JAY ft. DIAMONDWadau wa muziki wa Bongo Fleva tuliisubiri kwa hamu kubwa video ya wimbo wa mkongwe wa muziki nchini Tanzania, Joseph Haule maarufu kama Prof. Jay.
Siku ya leo Prof. Jay ameachia rasmi video ya wimbo huo unaojulikana kama "Kipi Sijasikia" akiwa amemshirikisha mkali Diamond Platnumz. Video hiyo ina mandhari mbalimbali ikiwemo mahakamani, na sehemu za starehe na pia imebeba watu wenye majina makubwa Tanzania akiwemo prodyuza mkongwe nchini na ambaye ametengeneza audio ya Kipi sijasikia, P Funck Majani. Muigizaji maarufu kama Dude, na mastaa wengine wengi akiwemo Dj Choka pia wameng'arisha video hiyo. Ili kupata uhondo zaidi nimeitupia hapa video hiyo ili uweze kushuhudia kwa macho yako mwenyewe:

Share on Google Plus

About Mallya Michael

Born in Moshi ,live i Tanga, studied in Arusha, went for military training at Kanembwa in Kigoma & currently pursuing my B.A in Public Relations & Advertising in University of Dar es Salaam
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment