SIMBA YATOKA SARE NA COASTAL UNION TAIFA


Kikosi cha wachezaji wa Simba kilichoanza katika mchezo wa leo
Kikosi cha wachezaji wa Coastal Union kilichoanza katika mchezo wa leo
Mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe akijaribu kumtoka mchezaji wa Coastal Union
Mchezaji wa Coastal Union akimzuia mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi
Mashabiki wa Simba wa tawi la Mapambano wakishangilia timu yao katika mchezo wa leo
Wachezaji wa Simba wakimpongeza mfungaji wa bao la pili la timu hiyo mrundi Amissi Tambwe
TIMU ya Simba SC imekwenda sare ya mabao 2-2 na Coastal Union katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mabao ya Simba yamefungwa na Shabani Kisiga na Amiss Tambwe huku ya Coastal Union yakiwekwa kimiani na Yayo Lutimba na Rama Salim.
(PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS)
Share on Google Plus

About Krantz Mwantepele

#IMAGINE #INSPIRE #INFLUENCE

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment