Picha mbili za ajali ya gari aliyoipata David Beckham na mtoto wake.


Gari la David Beckham aina ya Audi likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali aliyoipata mwishoni mwa wiki iliyopita .
Gari la David Beckham aina ya Audi likiwa limeharibika baada ya ajali aliyoipata mwishoni mwa wiki iliyopita.
Moja kati ya story zilizoshtua mashabiki wa soka duniani mwishoni mwa wiki hii ni ajali ambayo aliipata nyota wa zamani wa Manchester United na Real Madrid pamoja na timu ya taifa ya England David Beckham.
Becks alipata ajali hii wakati akiwa anatoka kumchukua mwanae Brooklyn toka kwenye mazoezi ya kila siku na timu yake ya Arsenal ambapo gari la Beckham aina ya Audi liligongana na gari nyingine ndogo na kupelekea staa huyu kupata jeraha kwenye bega lake japo halikuwa jeraha kubwa sana.
becks 2Hata hivyo taarifa za kuthibitishwa zimeripoti kwamba mtoto Brooklyn ambaye ni mchezaji wa timu ya vijana ya Arsenal hakuumia kwenye ajali hii.
Picha inayoonyesha magari mawili likiwemo la David Beckham lililopo upande wa kulia baada ya ajali aliyoipata star huyo.
Picha inayoonyesha magari mawili likiwemo la David Beckham lililopo upande wa kulia baada ya ajali.
Picha inayoonyesha familia nzima ya Beckham akiwa na mkewe Victoria Beckham na wanae wa kiume Brooklyn , Romeo na Cruz.
Picha inayoonyesha familia nzima ya Beckham akiwa na mkewe Victoria Beckham na wanae wa kiume Brooklyn , Romeo na Cruz.
Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment