TASWIRAZ,KATIKA MAPOKEZI YA KUTISHA KWA DIAMOND LEO AIRPORT JIJINI DAR ES SALAAM

Diamond baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.
MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametua nchini muda huu akitokea Afrika KusAini alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia tuzo tatu kwa mpigo. Tuzo alizonyakua staa huyo ni pamoja na Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One. 


Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment