UNAMKUMBUKA LL COOL J? APATA KIKI TENA BAADA YA KUCHANANA NA MTANGAZAJI

Kama umeanza kufuatilia muziki miaka ya 2000 ni nadra sana kumtambua mwanahiphop huyu wa nguvu kutoka Marekani James Todd Smith anayefahamika zaidi kama LL Cool J. Mbali na kuwa  role model wa wengi katika Hip Hop mwana alipotea sana na siku mbili tatu hizi amepata kiki baada ya kuibua utani dhidi ya mtangazaji wa kituo cha redio cha  Hot 97. LL Cool J ambaye alitamba sana kwenye kolabo aliyopewa na mrembo J Lo "All I have" alimtania mtangazaji huyo katika moja ya live freestyle akinwita mpumbavu. Haya hapa mashairi ya LL Cool J
"Rosenberg, meatball. You a meatball, man. Let's just get that out the way"
Kiki imekuja baada ya mtangazaji huyo anayejulikana kwa jina la Rosenberg kupaniki na kumchana LL Cool J kwa freestyle pia.

LL Coo J


 
Unaanzaje kukosa habari kama hizi jiunge na mwanaharakati faceboo upate updates
 
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment