
Mwigizaji wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper akipozi na Manaiki.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Wolper alisema katika mila za
Kiafrika, posa haikataliwi, inatolewa na kisha inajadiliwa kwa hiyo kama
Manaiki kajipanga, apeleke posa ikajadiliwe na wazee wake.“Nimesikia habari za Manaiki kutaka kuniposa nikacheka sana kwa sababu yeye kama yupo tayari apeleke posa itapokelewa kwani siku zote vigezo na masharti huzingatiwa, afuate utaratibu tu,” alisema Wolper.
0 comments:
Post a Comment