NEW SINGLE: STOSH _ WAONYESHE WAONE ft. BUCHO & RIZIONE.


Sikiliza na ku - download wimbo mpya kutoka kwake #Stosh akiwashirikisha #Bucho pamoja naye #RiziOne ambaye ni mmoja kati ya watu wanaokamilisha kundi maarufu kama #Wabantu kutoka #Bokazy E.N.T. 

Ngoma inaitwa #WAONYESHE WAONE na imefanywa na waandaaji wawili ambao ni #Ngwesa na #AK47 a.k.a #Midundo. 

CLICK HAPA KUSIKILIZA NA KUDOWNLOAD WIMBO HUO BURE.


Share on Google Plus

About KWELI EMCEE