Nisha awaumbua Ommy Dimpoz na Martin Kadinda Kwa Kuonyesha Maumbile ya KIUME fake Kwenye Suruali zao ili Wasifiwe.


Baada ya wiki chache kupita toka msanii wa bongo fleva, ommy dimpozi, kupost picha kwenye ukurusa wake wa instagram, ikimuonyesha staa huyo akiwa amevaa suruali inayoonyesha kitu chenye muonekano kama maumbile ya kiume , picha iliyozua gumzo kwenye mitandao ya kijamii, uku wengi wakimsifia staa huyo kwa kujaliwa na maumbile. Ata hivyo haikujulikana ni kwa nin staa huyo wa hit song ya wanjera aliamua kufanya kioja hicho.

Hivi karibuni tena , mwanamitindo na manager wa muigizaji Wema Sepetu aitwaye Martin Kadinda, alifanya kioja cha aina yake ambapo kama ilivyokuwa kwa Ommy Dimpozi, na yeye aliamua kupiga picha huku akiwa amevaa suruali iliyoonyesha kitu mfano wa maumbile ya kiume, hali iliyozua maswali ya sintofahamu.

Leo hasubuhi kupitia ukurasa wake wa Instagram, muigizaji na mchekeshaji maarufu bongo, Salma Jabu, maarufu kama Nisha , naye amepost picha ikimuonyesha amevaa surual inayoonyesha maumbile ya kiume wakati yeye ni mwanamke, hali iliyozua mijadala uku wengi wakidai mastaa hao(martin na ommy ) wanafanya mchezo huo mchafu wa kuweka vitu vinavyofanana na viungo vya kiume na kuwadanganya watu, kuwa ni maumbile yao, either kwa kutaka KICK au njia mojawapo ya kujitafutia wanawake kama ilivyo kwa mastaa wengi wa kike, wanavyo post picha instagram, ikiwaonyesha wana makalio makubwa ili wawavutie wanaume wakati sivyo walivyo, wengi wao wamekuwa wakitumia application maalumu ya kubadili maumbile yao.

Baadhi ya wadau mbali mbali wamewataka mastaa hao kuacha huo mchezo mara moja, licha ya kujishushia heshima zao, mastaa hao wametakiwa kuwa mstari wa mbele kukemea matendo yaliyo kinyume na maadili yetu na sio kuchochea maadili mabovu.

-Udakuspecially
Share on Google Plus

About Krantz Mwantepele

#IMAGINE #INSPIRE #INFLUENCE