UMESHAIONA HII REMIX YA "NASEMA NAWE" ALIYOFANYA ERIC OMONDI?

Sitaki nikuhadithie chochote ingali waweza kutazama na kusikia jinsi mchekeshaji kutoka Kenya Eric Omondi alivyofanya mbwembwe kwenye wimbo wa Mtanzania Diamond.

   

Eric Omondi ameamua kuuita wimbo huo Nabeba Mawe badala ya Nasema Nawe na vitu alivyovifanya humo ndani ni vya kukufanya ulazwe hospitali kwa maumivu ya mbavu.
Share on Google Plus

About Mallya Michael

Born in Moshi ,live i Tanga, studied in Arusha, went for military training at Kanembwa in Kigoma & currently pursuing my B.A in Public Relations & Advertising in University of Dar es Salaam