LOADING... KWELI EMCEE_ NAJITEGEMEA FT. KIMBUNGA MCHAWI

KAA MKAO WA KULA maana nafikiri hakuna muda wa kutumia pasipo matokea yaliyotarajiwa. NI FUNU FUNUA non-stop pass, penetration mpaka tulione TUNDU. Ni baada ya #MEMORY ambayo iliishia kufanya vizuri kupitia mitandao ya kijamii ikiwa ndiyo NGOMA YA KWANZA kutoka kwa KWELI EMCEE.

Baadaye ikafuataiwa na NYIMBO kadhaa ambazo bado hazijaachiwa HEWANI ikiwemo "WHAT ABOUT YOU" iliyofanyika M-TOWN RECORDS, pamoja na "NAWASILISHA" iliyofanyika ndani ya studio za KG'S RECORDS.

Sasa ni MAAMUZI KWA AMANI katika kudumisha na kuhamasisha uwepo wa AMANI kwa UCHAGUZI MKUU 2015. WIMBO ambao umefanywa NA KWELI EMCEE, KIMBUNGA MCHAWI pamoja na MAN DVD ambaye ameshirikishwa katika WIMBO huo. 


"NAJITEGEMEA" iko mbioni mkono wake BONNY' BANKS kutoka BADMAN RECORDS. May we KEEP IN TOUCH maana ni kitu ya HATAREEE HAKUNAGA.

MAONI:
Facebook:    Kweli MC
Instagram:     KweliEmcee
Twitter:      kinasaonlinemedia.

Share on Google Plus

About KWELI EMCEE

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment