Soma hapa "Neno Kuntu" kutoka kwa AY



Rapa Ambwene Yesaya "AY" amepost maneno ya kukuwezesha wewe ambaye una ndoto za kuwa fulani katika maisha yako.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook AY ameandika "Kuwa wewe, fanya yako, kujifananisha na mtu mwingine kutakuondolea furaha yako bure!!"




Kuwa wewe, fanya yako, kujifananisha na mtu mwingine kutakuondolea furaha yako bure!!
Posted by A.Y on Wednesday, August 5, 2015
Maneno haya yanaweza kukuongoza kuwa wa kipekee katika kile ambacho unakiwaza. 
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment