WASHINDI WA SHINDANO LA FIKA NA FINCA WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO LEO

Mtaalamu wa Masoko wa Benki ya FINCA Bw. Noel Mulumba  Akimkabidhi zawadi ya Tiketi ya basi  Bw.Hussein Bashe (katikati) ambaye ni mshindi wa Bahati nasibu inayoendeshwa na Benki hiyo inayoitwa Fika Na FInca anayeshuhudia ni Afisa Usafirishaji wa mabasi ya kampuni ya New Force Masumbuko Masuke mapema leo katika ofisi za makao makuu ya Finca Jijini Dar es salaam.
 
Mtaalamu wa Masoko wa Benki ya FINCA Akimkabidhi zawadi ya Tiketi ya basi  Bw. Charles Alfred (katikati) ambaye ni mshindi wa Bahati nasibu inayoendeshwa na Benki hiyo inayoitwa Fika Na FInca anayeshuhudia ni Afisa Usafirishaji wa mabasi ya kampuni ya Ngorika Joyce Assenga     mapema leo katika ofisi za makao makuu ya Finca Jijini Dar es salaam.

Meneja wa Masoko wa Benki ya Finca Microfinance Bw. Nicholous John, akifurahi jambo na  Adam Jumanne wa pili kutoka kulia akipokea zawadi kwa niaba ya Miriam Masanje  ambaye ni mshindi wa Bahati nasibu inayoendeshwa na Benki hiyo inayoitwa Fika Na FInca Mtaalamu wa Masoko wa Benki ya FINCA Bw. Noel Mulumba (katikati) na mwishoni kulia Afisa Usafirishaji wa mabasi ya kampuni ya New Force Masumbuko Masuke mapema leo katika ofisi za makao makuu ya Finca Jijini Dar es salaam.

Washindi wa Bahati nasibu inayoendeshwa na Benki ya Finca wakiwa katika picha ya pamoja  na viongozi wa benki ya FINCA na maafisa usafirishaji wa Ngolika na New force  mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao mapema leo katika ofisi za makao makuu ya FINCA jijini Dar es salaam.



Washindi wa Bahati nasibu inayoendeshwa na Benki ya Finca wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao mapema leo katika ofisi za makao makuu ya FINCA jijini Dar es salaam.

Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment