Leo Dec.10 ni birthday ya mwanamitindo mrembo Hamisa Mobeto a.k.a kadomo ambaye ni ubavu wa mmoja wa wakurugenzi wa E-FM ambaye pia ni Dj, Dj Majey.
Kama ilivyo kawaida kwenye siku kama hizi wapenzi hutakiana heri ya siku ya kuzaliwa, kitu ambacho hata Majey kakifanya kwa Hamisa, lakini wishes hizo zimeambatana na kuweka wazi kuwa wawili hao wanatarajia kupata mtoto.
Kupitia Instagram Majey ameandika:
“Happy birthday to my baby Mama. May Almighty God protect you and our unborn baby. Your boys love you very much.”
0 comments:
Post a Comment