MwakilishI kutokea Tanzania ambaye pia ni mshindi wa shindano la Big Brother Africa 2014,Idris Sultan leo Des 10 amepata mapokezi ya aina yake kutoka kwa ndugu,jamaa,marafiki na mashabiki wa shindano hilo alipowasili katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam.
PICHA ZOTE KWA HISANI YA MILLARD AYO |
About EDITOR
0 comments:
Post a Comment