Sikiliza hapa single mpya kali kutoka kwa Ali Kiba

Wimbo wa mkali wa Bongo Fleva, Ali Kiba unaokwenda kwa jina la "Hela" umevuja na tayari Harakati360 tumeupata na kuuweka hapa uweze kuusikiliza.
 
Bila kuwa na wingi wa maneno kwa heshima ya Ali Kiba usikilize halafu useme mwenyewe je bado uwezo wa Kiba upo?
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment