Tayari Video Diamond aliyoshirikishwa na Bracket iko hapa, ni wewe tuu.

Baada ya kuachia audio kundi la muziki nchini Nigeria linalokwenda kwa jina la Bracket wameachia video ya single yao kali inayotamba kwa jina la Alive.

Kama wengi tulivyotarajia, mkali wa Bongo Fleva na Afrika Diamond Platinumz pamoja na mwanadada Tiwa Savage wamekinusha vilivyo humo ndani.
Uhondo mzima umesababishwa na director anayekimbiza kwa sasa Afrika ambaye ni God Father. Tumia dakika zako 4 kufaidi na naamini utarudia tena na tena.

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment