Boxing day mwaka 2014 imeingia kwenye headlines muhimu kwa watumiaji wa mtandao wa Instagram kujumuika na kukutana sehemu moja ana kwa ana kwa lengo la kufahamiana zaidi.
Event hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Golden Jubilee Dar es Salaam ilihudhuriwa na watu tofauti wakiwemo mastaa hizi ni baadhi ya picha zikionyesha matukio mbalimbali kama Redcarpet,Perfomance ya Wakazi na jinsi watu walivyoifurahia siku hiyo.
Mmiliki wa mtandao huu wa MWANAHARAKATI MZALENDO akipata taswira na wadau |
PICHA ZOTE KWA HISANI YA MILLARD AYO
0 comments:
Post a Comment