Kuna mambo mengi ambayo ungependa kufahamu kuhusu gwiji wa muziki wa Hiphop nchini Tanzania, Joseph Haule maarufu zaidi kama Profesa J.
Huenda hujawahi kuifahamu familia ya mkongwe huyo ambaye amekomaa na gemu toka miaka ya 1990 na kitu, na yeye ametupia picha katika ukurasa wake wa facebook akiwa na family.
Soma maneno aliyoyaandika hapa:
Post by Professor Jay.
0 comments:
Post a Comment