Duuh! kumbe Ney Wa Mitego anaihanya ndoa!


Star wa Bongo Fleva Ney wa Mitego ambaye pia amekuwa ni machachari katika kutimiza amri ya kuujaza ulimwengu, ameweka wazi kuwa kati ya mambo makubwa anayoyahofia katika maisha yake, mojawapo ni ishu nzima ya kuoa.
Msanii wa miondoko ya bongofleva Ney Wa Mitego
Mtandao wa eatv.tv umeripoti kuwa, kwa upande Ney binafsi akifikiria anakosa sababu hasa ya hofu hii, ila kuoa ni kitu ambacho kinamtoa jasho pale anapokifikiria wazo hilo.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment