Wafuatiliaji wa muziki tunafahamu udambwi udambwi uliopo kati ya nguli wa Hiphop - Jay Z na mwanadada mkali wa R&B na Pop Beyonce. Wakali hawa wamelewa katika ndoa yenye mtoto mmoja kiasi cha dunia nzima kutamani mahusiano kama yao.
Desemba 4 mwaka huu Jay Z alitimiza miaka 45 tangu azaliwe na birthday party yake ilifanyika huko Iceland. Picha za wawili hao wakila bata hazikuweza kuonekana mpaka pale mwanadada Beyonce alipoamua kuziachia hivi karibuni kupitia mtandao wa Tumbril.
Ziko poa sana na niimezitupia hapa zote uweze kuwa wa kwanza kuziona:
0 comments:
Post a Comment