Je Nasib Abdul 'Diamond Platnumz' amelinunua gari hili aina ya Rolls Royce lenye thamani ya zaidi ya Tshs 367,080,000 ?


Baada ya msanii anaye kita sasa barani Afrika kupost picha ya gari la kifahari aina ya Rolls Royce kwenye ukurasa wake wa Instagram, Diamond Platnumz amemake headline kwenye mitandao ya kijamii kwa picha hiyo akiwa hajaandika chochote juu ya picha aliyo iweka wala yeye onekana amesimama kwenye gari hilo.
Maswali yamebaki kwa wengi kuwa je ni amenunua gari hilo au ameamua kuonyesha mapenzi kwa gari hilo na ku share picha yake!?

-tubongetz
Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment