Chegge Chigunda a.k.a Mtoto wa Mama Saidi ametoa maoni yake nakusema kuwa kitendo cha wasanii kufanya kazi zao za muziki nje ya nchi kuna baadhi ya wadau wanakitafsiri tofauti, ni kutokana na vile ambavyo soko na mashabiki wa muziki wanavyotaka.
Chegge alikuwa akiongea na ENewz ambaye hivi karibuni amemaliza project yake kubwa kabisa inayokwenda kwa jina la ‘Kaunyaka’ akishirikiana na Temba huko Afrika Kusini, amesema kuwa hii ni katika kubadilisha ladha vilevile mazingira katika kuongezea nakshi katika kile wanachokifanya.
0 comments:
Post a Comment