Land Rover ya Mwaka 1976 Aliyokuwa Akitumia Bob Marley Yafufuliwa, Ipo Hapa


Hivi ndio mwonekano wa Land Rover aliyokua akiitumia Bob Marley ilivyokua ikionekana kwenye makumbusho ya masanii huyo nchini Jamaica.


Mwonekano wa ndani\Land Rover hiyo inavyoonekana kwa sasa baada ya kufamyiwa matengenezo upya na kampuni ya Land Rover ya Jamaica kwa ushirikiano na familia ya Bob Marley ambaye kama angekua hai angekua amefikisha miaka 70 Februari 7 mwaka huu.
Mwanekano mpya wa gari hiyo
Pamoja na mwonekano mpya pia gari hiyo linaendesha kama jipya.

Mwonekano wa Ndani
Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment