Picha: Beyonce apotezea kufunga vifungo vya shati
Huwezi kupitia vyombo vya habari na kukosa kukutana na Beyonce kwenye vichwa vya habari. Kwa sasa mshindi huyo wa tuzo tatu za Grammy, anakick na hii ya kuacha kufunga vifungo vya shati wakati akilkea katika mgahawa wa Gracias Madre uliopo Los Angeles.
Mapaparazi walipata picha za Beyonce akiwa ameongozana na Jay Z akiwa amachia vifungo vya shati na zaidi hakuvaa hata sidiria. Hii imtoka juzi Jumanne na mimi naona Beyonce aliamua kutafuna hewa safi ya Los Angeles.
0 comments:
Post a Comment