Hivi karibuni kuna picha imezagaa kwenye mitandao ikimuonesha nyota wa Kireno Christiano Ronaldo akimpigia kampeni ya rais wa Nigeria Goodluck Ebele Jonathan.
Picha hii imeibua mijadala mingi kwenye mitandao mingi huku watu wengine wakisema picha hiyo imetengenezwa kwa kutumia adobe photoshop.
Je wewe mdau wetu unasemaje kwa hili????
About EDITOR
0 comments:
Post a Comment