| wafanyakzi wakifuatilia kwa makini shughuli zinazoendelea hapo ukumbini |
| Zawadi zikiendelea kutolewa kwa mkurungezi mkuu wa TIGO tanzana alieyemaliza muda wake hapa nchini Diego Gutierez katika hafla iliyofanyika jana usiku katika hotel ya Hyatt REGENCY |
| Mduara ukiendelea kwa wafanyakazi wote |
| selfie zikiendelea hapa na pale kwa wafanyakazi kupata taswira na wasanii vanesa mdee na Baranaba |
| Ze taswiraz na meneja huduma kwa wateja wa TIGO tanzania Charles Gardner |
| Ze Taswira na wadau Najim katika hafla hiyo ya kumuaga mkurungezi mrtendaji wa Tigo Diego Guteirez |
| ze taswira na mdau Noeli |
| wafanyakazi wa Tigo wakiendela kupata ze taswiraz |
| wafanayakazi wa Tigo Tanzania wakifuatailia kwa makini hotuba ya mkurungezi wa TIGO tanzania aliyemaliza muda wake hapa nchini |
| Mkurungezi Mtendaji wa Tigo TANZANIA alieyemaliza muda wake hapa nchini Diego Guteirez akitoa htouba fupi ya kuaga baada ya kupata majukumu mengine akiwa kaongozana na yake mkewe na watoto wanne. |
| wafanayakazi wakipata nafasi ya kupata chakula na vinywaji humu ukumbini |






0 comments:
Post a Comment