MASOGANGE AFUNGUKA KUHUSU MAHUSIANO YAKE NA HUYU JAMAA


Baada ya figisu figisu ya muda mrefu leo hii Mwanadada Agnes Gerald aka Masogange ameamua kufunguka kuhusu mahusiano yake na huyu jamaa....hii inanikumbusha ile Hadithi ya Mfalme Ana Maskio Kama ya Punda...Kwani dada Masogange alikaanalo sana hili na leo kasema mwenyewe na kuweka picha hizi INSTAGRAM...



Share on Google Plus

About EDITOR

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment